Saturday, November 14, 2009

FERGUSON AFUNGIWA



Kocha wa Man United Sir.Alex Ferguson amefungiwa mechi nane kutokaa kwenye benchi la ufundi na kulipa faini ya zaidi ya shillingi 30, imesema Shirikisho la Chama English (FA) ilisema.

Adhabu hiyo ilikuja baada ya kocha Ferguson kumtupia maneno makali refa Alan Whiley katika mechi dhidi ya Sunderland.”Huyu refa hana kipaji cha kuendesha mechi zangu na aliipendelea Sunderland, hana uwezo wa kuendesha mechi yoyote, alisema.