Friday, November 13, 2009

YOANN GOURCUFF AILIWAZA BARCA.


Kiungo wa Bordeaux Yoann Gourcuff alikuwa akiiwaza Barcelona tuu. Kama kwa miaka 10-15 iliyopita .
Naipenda kwasababu wanacheza kwa pasi na mtindo wa timu ni nzuri, Timu ile ni yakuchukuwa makombe tuu. Afadhali iliifunga Man Utd katika kombe la Mabingwa Ulaya, alisema alipokuwa akiongea na Telegramme Brest