Klabu ya Barcelona imesema kuwa inamtaka mshambuliaji wa Kimataifa wa England, Wayne Rooney. Winga wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo alizua balaa huko Hispania baada ya kusema Real Madrid inamtaka.Barcelona yenyewe inamtaka Rooney, na Real Madrid pia inamtaka. Ronaldo aliiambia Sport-Express: Ni mshambuliaji anayejituma na mwenye mbio, Barcelona imemuandalia paundi millioni 85.