
kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hii michezo ya International yamemaribia mambo yake hasa katika mipango ya vijana wake kama Gibbs, Wilshere, Wallcot na wengine ambao ni wa England waende kwenye mazoezi. Lakini Wenger amesema ya kwamba mda wa michezo imepangwa pabaya lakini anauhakika ya kwamba wanaweza.Amewataja wachezaji ambao anauhakika kwamba wanaweza kutoka majeruhi ni Nasri,Almunia na Fabianski.