Sunday, October 11, 2009

VAN der SAR-FOSTER ANAWEZA







Kipa MKONGWE wa Manchester United Van der Sar amesema kwamba Foster anatakiwa awe makini lakini anamwambia Fergie kwamba Foster,26, ni kijana mzuri lakini Kuszack nae ni mzuri.Lakini amesema kwamba Foster ni mzuri wa baadaye kama Kuszack na pia Foster ana nguvu ya kucheza lakini amesema ya kwamba Foster arekebishwe katika kupewa pasi na wachezaji wake siuamini mguu wake na pia kupanga mabeki wake.Mimi ninachokisema ni kwamba nadhani Kuszack ni mzuri kuliko Foster.