
Kocha wa manchester united fergie amesema kwamba anataka kumnunua david villa na sasa wameshafungua mahujiano nae na valencia wamekubali. sasa fergie imeonekana mchezaji atakaye mnunua sasa wa january itakuwa david villa hasa, Kwani Ac Millan wanataka kumuuza Huntelaar.