Friday, October 30, 2009

Tottenham yamtaka Rio


Timu ya Totten ham imemtaka Rio Ferdinand baada ya kuonyesha kiwango kibaya akiwa Man United. Habari ziwafikie wote kwamba Ferdinand ataondoka msimu huu.