Sunday, November 1, 2009

ADEBAYOR- FABREGAS LAZMA UONDOKE.


Mchezaji wa Man City Emmanuel Adebayor amesema kuwa kiungo Francesc Fabregas ni mtu anayefuatia kuondoka The Gunners baada ya yeye mwenyewe kuondoka kwa sababu ya ukame wa makombe. Ni kweli kwamba tangu kuondoka kwa kiungo Patrick Viera mwaka 2005 ilikuwa ni mwisho wa makombe hapo Emirates. Ni lazma Fabregas aondoke kama Arsenal a.k.a The Gunners hawata chukua makombe msimu huu kwani Merida na Fabregas wanatakiwa Atletico Madrid.

Hata hivyo meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema anamtaka beki wa Italia Angelo Ogbonna kutoka Torino mwenye miaka 21.