Friday, October 30, 2009

Barnsley v|s Man Utd


Man Utd imeichabanga Barnsley 2-0 baada ya Danni Welbeck na Owen kufunga. Katika mechi hiyo kiungo mpya wa Man Utd Gabriel Obertan alikuwepo. Man inasubiria kuwepo kwa Owen Hargreaves.