
Kiungo wa Manchester United Owen Hagreaves aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu anaamini kwamba mkosi wa kuumia kila mara unakaribia kumaliziaka katika maisha yake ya soka.Hajaichezea klabu yake ya Manchester United tangu mwezi September mwaka 2008 baada ya kuuumia goti mara 23, alisema Alex Ferguson.