
Kocha wa Barca Pep Guardola amesema anaweza kumsaini Robinho katika dirisha dogo la Januari. Barca imeshaongea na Man City, Man City nayo imekubali. Kuna uwezekano mkubwa wa kumsaini Robinho.
Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI