Sunday, October 11, 2009

KWA RIBERY MILLIONI 65-MAN CITY


Timu ya MAN CITY imemtengea dau nono Ribery kutoka BAYERN MUNICH.Kocha wa man city mark huges amesema ya kwamba wanatoa dau nono lakutaka kumsaini frank ribery na wamesema ya kwamba wanatoa ofa la pauni millioni 65(sawa na billioni 130 za kitanzania)