
Beki tegemezi wa Manchester United ameitoa woga timu yake na kuzikatisha tamaa klabu kama Real Madrid na AC Millan baada ya kusaini mkataba mrefu hapo Old Trafford.
Kufuatia hatua hiyo CEO wa Man U David Gill ana mpango wa kuongeza mkataba wa gwiji lao Wayne Mark Rooney maana Real Madrid wanajipendekeza sana kwa Rooney na kumvutia gwiji hilo la England.