Sunday, March 6, 2011

£100 million


Alex Ferguson wa Manchester United amepanga kutumia millioni £100 ilikulichambua kikosi chake upya.

Mscotland huyo anasemekana kuwa ana mpango wa kuleta kundi la machipukizsa wadogo ili akiondoka awe ameiachia Manchester machipukizi mda atakaoamua kustaafu.(Sunday Express).


Kwenye "shortlist" la kocha huyo kulingana na Sunday Express ni; Winga wa Tottenham Hotspur Gareth Bale (£30m), Winga waAston Villa Ashley Young (£20m),Winga wa Sunderland Jordan Henderson (£15m),kiungo wa Everton Jack Rodwell (£10) na kinda waSouthampton Alex Chamberlain (£10m).


United pia wapo sokoni kumsaka kipa mpya ili kumrithi Edwin van der Sar na wameripotiwa kuandaa £10m kwenye mthihani huo, Mdatchi Maarten Stekelenburg ndo kipa wanaomfuatilia.