Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho ameihimiza managementi ya Real Madrid kuendeleza juhudi za kumsaini mshambuliaji wa Manchester United Javier Hernandez January, kulingana na www.record.commx.
Majeruhi ya Gonzalo Higuain na kutokumuamini Karim Benzema kimemfanya Mourinho awe na wasiwasi wa washambuliaji hatakama “Los Blancos”(Real Madrid) wamehusishwa na kuwanunua straika wa VfL Wolfsburg Edin Dzeko na Athletic Bilbao ‘front-man’ Fernando Llorente , Hernandez amewekwa NAMBA 1 na kocha wa zamani wa Inter Millan.
Real walihusishwa na kumsaini Hernandez mwezi uliopita. Hata hivyo itakuwa tu kumjaribu Ferguson ambaye alimsaini kutokea Chivas Guadalajara kabla World Cup, na anaendelea vizuri tu na klabu yake mpya, baada ya kufunga mabao 5 na 2 CHAMPIONS League.