Wednesday, December 15, 2010

Macho kwa Joaquin


Manchester United wanataka kurudisha mipango ya kumnunua winga wa Valencia Joaquin.Sir Alex Ferguson anaaminika kuwa tishio kubwa wa winga wa Hispania huyo na anaamini kuwa msimu uliopita angempata na sasa angekuwa anamrithi Antonio Valencia.

Joaquin, 29, amekuwa tishio na timu yake Valencia ndani ya La Liga msimu huu na amekuwa akiwindwa na Chelsea na AC Milan.Kuondoka kwa David Silva na David Villa, Valencia sio tishio kubwa sana na Joaquin anataka kupoteza nafasi kuchezea moja ya timu kubwa duniani.

Valencia hawatakuwa tayari kumuuza nyota wao kwa chini ya paundi millioni 9, lakini ripoti kutoka Hispani zinasema United wako tayari kumpata winga huyo Januari.