
Timu ambayo iliyoonekana tajiri msimu uliopita Manchester City sasa inaoneka tena kuwa inamnyemelea beki wa kimataifa wa Serbia Nemanja Vidic kwa millioni 20.
Habari kutoka http://www.eurosport.com/ zinasema kuwa watamuangalia wakati Serbia watakapo menyana 15:00 Serbia v Ghana huko Sauzi.
Beki wa kati huyo aliyeoneka ngangari na mfungaji magoli mzuri kwa vichwa wa Manchester United msimu uliopita.