Bosi wa Mashetani wekundu Sir Alex Ferguson alionyesha hasira na mshambuliaji wake Dimitar Berbatov baada ya kumtoa kwenye kikosi cha kwanza kwenye mechi dhidi ya Birmingham 1-1.
Na kuonekana kwa Nemanja Vidic ni wa mashaka baada ya kupewa matibabu yanayo itwa "hair-dryer" Old Trafford wiki endi iliyopita.
Ferguson alimwambia beki wa kati kwamba yeye siyo beki mkubwa wa kumwingiza mechi zote hata kwenye mechi ya FA Cup mzunguko wa tatu dhidi ya Leeds.
Vidic ameumia tangu wiki mbili zilizopita kwa sababu ya kuumia mguuni.
Kulikuwa na habari nzuri kuwa mke wa kipa Edwin Van der Sar ameruhusiwa kwenda nyumbani kwa sababu ya matatizo ya akili.
Ferguson atasikiliza ofa za Ben Foster, huku Tomasz Kuszczak ameshidwa kukabili majukumu ya Edwin Van der Sar.
Kipa wa Schalke 04 keeper Manuel Neuer anategemewa kujiunga na Man Utd moja kwa moja baada ya World Cup.