Torres ajivunia kocha mpya.
Mshambuliaji wa Liverpool na Spain Fernando Torrres amesema yuko 'happy' na kocha wake mpya aliyetokea Fulham Roy Hodgson.
Heinze:"Baki Maradona"
Beki wa kulia wa Marseille na Argentina Gabriel Heinze amesema atakuwa mwenye furaha kama Maradona akibaki kuwa kocha wa Argentina hatakama wakitolewa.
Guardiola kuanini mkataba mpya Barca
Kocha wa Barcelona pep Guadiola ametakwa kwanini barca. Kocha huyo alikuwa na msimu mzuri barca amekaa tayari kusainimkataba mpya.
Capello Kubaki
Kocha wa uingereza Fabio Capello ametakiwa kubaki kulingana nashirikisho la uingereza kutangaza kuwa atabaki hatakama amefeli kuonyesha makali.
Ramos ajipa moyo
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amejifariji na kusema kuwa timu yake itawapata Steven Gerrard na Ashley Cole kulingana na Daily Star
Zlatan:Najisikia mwenye furaha Barca
Mshambuliaji aliyeshindwa kuonyesha makali akiwa timu ya Barcelona Zlatan Ibrahimovic hatakuwa anajiunga AC Milan. Wakala na klabu yenyewe imethibitisha.
Lyon yamtaka Gourcuff
Kiungo wa Ufaransa na timu ya Bourdeux Yoann Gourcuff ameripotiwa kuwa na madai ya kutakiwa na klabu ya Olimpique Lyon. Rais wa Boudeux amesema kuwa hawako tayari kukubali ofa hiyo.
Benayoun asaini Chealse.
Chelsea imethibitisha kumsaini kiungo wa Israeli Yossi Benayoun akitokea Liverpool.
Totten yabwaga manya'nga
Klabu ya soka ya Totten Hotspurs imekataa kuendelea tumbwilitumbwili la kumsajili kiungo huyo aliye huru kutokea Joe Cole.
Arsenal yapata mwali
Klabu ya soka ya Arsenal imepata mchezaji wa Bolivia Samuel Galindo.