Tuesday, January 12, 2010

MANCINI ANUNA


Kocha mpya wa Manchester City Roberto Mancini amesema kuwa bado amekasirika kutokana na kufungwa lile goli moja. "Hatakama tulishinda 4-1 lakini hilo moja ni lanini?
Tangia nimekuja (Manchester City) sikuwahi kufungwa hata bao moja, lakini Blackburn imetufuga kisa tu yule mtoto Mark Pedersen wa Blackburn.