Tuesday, January 12, 2010

BENTLEY KUENDA ATLETICO KWA MKOPO

Winga wa Tottenham Hotspurs David Bentley amtakiwa na klabu ya Hispania Atletico Madrid kwa mkopo mwezi huu.

Bentley ambaye ni winga machachari pale White Hart Lane yuko hatarini ya kuiacha klabu kwa sababu ya kutokupangwa kwenye kikosi cha kwanza (Starting 11).