Sunday, December 6, 2009

Villa aziingiza vitani Madrid, Barca

MSHAMBULIAJI wa Valencia, David Villa amekuwa akiwaniwa na timu nyingi kwa sasa ikihusisha Madrid na Barcelona

Villa, 27 amekuwa na mipango kwenda Manchester United, "nilikuwa sina uhakika" alisema