
KIUNGO wa Liverpool Steven Gerrard amekata tamaa baada ya timu ya kuonyesha matokeo mabaya hivi karibuni.
Kiungo huyo alisema: “tuseme tu ukweli, Chelsea ni wa kuchukua kombe msimu huu. Labda tu Manchester United itegemee miujiza,” alisema
Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI