Wednesday, December 30, 2009

MEGSON AFUKUZWA


Meneja wa Bolton Gary Megson amefukuzwa baada ya kutoka 2-2 dhidi ya Hull City. Habari ziwafikia mashabiki wa Bolton kwani Gary Megson amefukuzwa.


Mimi kama mimi sioni kwa nini amefukuzwa kwani Bolton Wanderers ni ya 18 na ina mchezo mmoja mkononi.