
Kocha wa Chelsea Carlo Ancelloti amesema kuwa Dider Drogba akienda Africa kimataifa siyo kwa timu itashuka, bali itakuza kasi.Drogba (kwa picha tofauti dhidi ya Fulham) aliyefunga goli la kwanza dhidi ya Fulham atakwenda Africa kuichezea timu yake ya taifa Ivory Coast/ Cote' Dvore.