Wednesday, November 4, 2009

TORRES KUFANYIWA MAREKEBISHO


Mshambuliaji wa kimataifa Fernando Torres atatakiwa kupasuliwa mguu baada ya kuumia kwake katika mechi dhidi ya Fulham, Jumamosi. Siku hiyo Liverpool ilifungwa 2-0 kwani Degan na Carragher kuonyeshawa kadi nyekundu.