Thursday, November 5, 2009

MAN U YAMTAKA DI MARIA




Man U inafikiria mpango wa kumnunua Di Maria kutoka Benifica kwa paundi millioni 12. Di Maria anakuwa na usongo wa kucheza ligi ya Europa baada ya timu yake kuifunga Everton 5-0 katika uwanja wao.


Nani na Valencia bado hawana kile kiwango cha kumrithi Ronaldo kwa zile mbio ambao wazungu wanazoziita WING RUNS