Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI
Saturday, November 7, 2009
Chelsea wasamehewa
Klabu ya Chelsea ina mpango wa kumnunua Alexandre Pato baada ya kusamehewa hadhabu ya kuto kununua wachezaji. Hadhabu hiyo ilitolewa kwakuwa Chelsea haikuonana na timu kwanza na kuanza na mchezaji, kwani hiyo hairuhusiwi.