Sunday, November 8, 2009

Man City kwa Dzeko


Kulingana na Sunday Mail mshambuliaji Edin Dzeko anaweza kwenda Man City kwa millioni 22. Man City inamtaka mchezaji huyo mwenye miaka 24.