Sunday, November 8, 2009

dossena- mbona Ac Millan, Napolli na Juventus mnanifuatilia


Beki wa kulia wa Liverpool Andrey Dossena ameviambia vyombo vya habari kuwa "timu za Italia zinanifuata. Ila mimi nimekwisha kuchagua timu. Sasa hizi timu nyingine zikija mimi hazitanihusu maana mawakili wengi wanakuja. Chaguo langu ni Juventus.