Friday, November 13, 2009

HAMBURG WAMTAKA HUNTELAAR




Klaas-Jan Huntelaar anatakiwa, hatakama alifika hapa Ac Milan kwa millioni 15 the msimu uliopita. Hamburg inaonekana kuwa tayari kumsaini mdatchi huyu kwa mkopo.