Friday, November 13, 2009

FIORENTINA KWA LUCAS LEIVA


Liverpool wanataka kumuuza Lucas Leiva, na wanataka kiasi kinachozidi euro millioni15. Mchezaji huyu amechunguzwa kuwa anafuatwa na Fiorentina wa Pantaleo Corvino.