
Gazzetta dello Sport limesema kuwa winga wa AC Milan Ronaldinho ameamua kujiunga na FC Gremio. Hiyo inamaanisha kwamba Blackburn wanabidi kutafuta mshambuliaji mwingine.Full story: Gazzetta dello Sport
Manchester United wanataka kumnunua beki wa Real Madrid Pepe, kwani mkataba wa Mreno huyo umekuwa ukigonga mwamba. Full story: caughtoffside
Tottenham wanataka kumpata straika wa Ajax Luis Sarez kwa £17m. Full story: Daily Mirror
Klabu ya Juventus inajipanga kumnunua winga wa Tottenham Gareth Bale. Unataka kujua kwa kiasi gani: Bofya hapa.> Full story: caughtoffside.com
Meneja wa Chelsea Carlo Ancelotti has amekiri kuwa ana bahati kwamba hajafukuzwa kwani amepata pointi 10 kati ya 30.Full story: Daily Mirror
Avram Grant amevumbua siri ya mafanikio yake. Amesema kuwa ni ile SCAFU yake anayoivaaga shingoni. Full story: the Guardian