Saturday, July 24, 2010

Ndio kwanza la kwanza.


Winga wa Manchester United Gabriel Obertan ameifungia Manchester United goli la kwanza toka ajiunge kutoka klabu ya Ufaransa Girondins Bordeaux.


Winga huyo aliyefunga bao safi kutoka kwenye winga ya kushoto kutoka kwa pasi ya kinda Danny Welbeck ambaye alishinda msimu katika timu ya mdogo wa Ferguson Preston FC.