Saturday, July 24, 2010

City wamaliza kazi.


Klabu inayosifika kuwa na hela siku za hivi karibuni, imemaliza pilika-pilika la kumsajili beki wa kushoto kutokea timu ya Itali Lazio.


Mserbia huyo ambaye ameichezea Lazio michezo 82 na kufunga magoli 5 tu atakafilisha kupimwa (medical) siku zijazo. Akisha kamilisha usajili atajiunga na wenzie huko America.