Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi amesema kuwa kipa wa Nigeria, Vincent Enyeama ni mmoja kati ya makipa bora Africa au hata Dunia nzima.Enyeama,27 ni mmoja kati ya makipa bora Africa nzima na wasifu waake unasema, ni kipa ambaye anaweza kudaka penalty.


Messi ambaye jana hakuwa na bahati mbele ya Enyeama alisema kuwa mashuti matatu aliyatoa. Hata Higuain atakuwambia. Yule kipa ni mzuri sanaaa.