
Nahodha wa klabu ya Fulham "Danny Murphy" amesema kuwa ni nafasi nzuri ya Chelsea kutwaa Ubingwa Ulaya msimu huu.Kutokana na kufungwa 2-1 ilikuwa ni uzembe wetu kutokushikilia goli la kwanza dhidi ya timu kubwa kama Chelsea.
Kulingana na www.eurosport.com Murphy alieleza kuwa alidhani watarudi na goli lingine kipindi cha pili ila ni wao waliorudishiwa na kuongezewa. Tulifungwa magoli matatu ndani ya dakika tatu. Kusema ukweli kila mtu alifurahia "samasoti au tikitaka" ya winga Zoltan Gera dakika za mwanzoni, ila hamna kilichotokea.