Wednesday, December 23, 2009

HABARI ZA ARSENAL

KLABU ya Arsenal imeingia mkataba wa kumsaini mshambuliaji wa Aston Villa Gabriel Agbonlahor mwezi wa Januari.

Habari hizi zimetoka kwenye http://www.bbc.com/ baada ya Arsenal kusema itamnunua Agbonlahor kwa paundi milioni 17.

Klabu ya Arsenal imetakiwa kumlinda Kiungo wake Jack Wilshere, 17.

Burnley ndio inayo mtaka Jack Wilshere ikifika Januari.