Sunday, November 8, 2009

Man U yamataka Chamakh


Timu ya Man Utd inampango wa kumnunua mshambuliaji Marouane Chamakh mwenye miaka 25. Mshambuliaji huyo alitakiwa na Arsenal ila wakamkosa na West Ham pia wanamfuatilia.