Sunday, November 1, 2009

BENITEZ ATAKIWA MADRID


Kocha wa Liverpool Rafael Benitez ametakiwa na timu ya Real Madrid baada ya kocha Manuel Pellegrini baada ya kucheza vibaya na kufungwa na timu ya daraja la kwanza 4-0 kwenye kombe la Mfalme.