Karibu sana katika blog linalokuletea habari kutoka MAJUU kwa UFUPI
Saturday, October 10, 2009
CAPELLO AIOMBEA MEMA ENGLAND
CAPELLO AIOMBEA MEMA ENGLANDENGLAND HAWANA WASIWASI KUHUSU KUSHINDA DHIDI YA UKRAINE KWANI WAMEKWISHA FANIWA KUFIKA FAINALI ZA WORLD CUP, KOCHA WA UINGEREZA FABIOCAPELLO ALISEMA.